2 Samueli 11:23 BHN

23 Yule mjumbe akamwambia Daudi, “Adui zetu walituzidi nguvu, wakatoka nje ya miji na kutushambulia nyikani. Hata hivyo sisi tuliwarudisha mpaka kwenye lango la mji.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 11

Mtazamo 2 Samueli 11:23 katika mazingira