2 Samueli 11:25 BHN

25 Daudi akamwambia yule mjumbe, “Utamwambia hivi Yoabu, ‘Jambo hili lisikusumbue kwani upanga hauna macho, vita huua yeyote yule. Bali, imarisha mashambulizi dhidi ya mji, hadi umeuangamiza mji huo’. Ndivyo utakavyomtia moyo Yoabu.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 11

Mtazamo 2 Samueli 11:25 katika mazingira