2 Samueli 12:1 BHN

1 Basi Mwenyezi-Mungu akamtuma nabii Nathani kwa Daudi. Nathani alimwendea Daudi, akamwambia, “Kulikuwa na wanaume wawili katika mji mmoja; mmoja alikuwa tajiri na mwingine alikuwa maskini.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 12

Mtazamo 2 Samueli 12:1 katika mazingira