2 Samueli 12:19 BHN

19 Daudi alipowaona watumishi wake wananongonezana, akagundua kuwa mtoto wake amekufa. Hivyo, akawauliza, “Je, mtoto amekufa?” Nao wakamjibu, “Naam! Amekufa.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 12

Mtazamo 2 Samueli 12:19 katika mazingira