2 Samueli 12:21 BHN

21 Ndipo watumishi wake wakamwuliza, “Ni jambo gani hili ulilofanya? Mtoto alipokuwa hai, wewe ulifunga na kumlilia. Lakini alipokufa, umeinuka, ukala chakula.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 12

Mtazamo 2 Samueli 12:21 katika mazingira