2 Samueli 12:23 BHN

23 Lakini sasa amekufa, ya nini nifunge? Je, mimi naweza kumrudisha duniani? Siku moja, nitakwenda huko alikokwenda, lakini yeye hawezi kurudi kwangu.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 12

Mtazamo 2 Samueli 12:23 katika mazingira