24 Halafu Daudi akamfariji Bathsheba mkewe. Akalala naye, naye akapata mimba na kujifungua mtoto wa kiume, ambaye Daudi alimwita Solomoni. Mwenyezi-Mungu alimpenda mtoto huyo,
Kusoma sura kamili 2 Samueli 12
Mtazamo 2 Samueli 12:24 katika mazingira