2 Samueli 12:30 BHN

30 Kisha akachukua taji ya mfalme wao kutoka kichwani pake. Uzito wa taji hiyo ya dhahabu ulikuwa kilo thelathini na tano; na ndani yake mlikuwamo jiwe la thamani. Naye Daudi akavikwa taji hiyo kichwani pake. Pia aliteka idadi kubwa sana ya nyara katika mji huo.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 12

Mtazamo 2 Samueli 12:30 katika mazingira