2 Samueli 12:7 BHN

7 Nathani akamwambia Daudi, “Wewe ndiwe huyo mtu! Sasa, Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, anasema hivi: ‘Mimi nilikupaka mafuta uwe mfalme juu ya Israeli na kukuokoa mikononi mwa Shauli.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 12

Mtazamo 2 Samueli 12:7 katika mazingira