2 Samueli 12:8 BHN

8 Nilikupa nyumba ya bwana wako na wake zake wawe wako, tena nikakupa watu wa Israeli na wa Yuda uwatawale. Na kama haya yangekuwa kidogo mno kwako ningekuongezea mara mbili zaidi ya hayo.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 12

Mtazamo 2 Samueli 12:8 katika mazingira