2 Samueli 12:9 BHN

9 Kwa nini basi, umedharau neno langu mimi Mwenyezi-Mungu ukafanya uovu huu mbele yangu? Umemuua Uria Mhiti, kwa upanga, ukamchukua mke wake kuwa mkeo. Umewatumia Waamoni kumwua Uria vitani!

Kusoma sura kamili 2 Samueli 12

Mtazamo 2 Samueli 12:9 katika mazingira