2 Samueli 13:10 BHN

10 Kisha, Amnoni akamwambia Tamari, “Sasa niletee mikate hiyo chumbani kwangu, halafu unilishe.” Tamari aliichukua mikate aliyoiandaa na kuipeleka chumbani kwa kaka yake Amnoni.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:10 katika mazingira