2 Samueli 13:9 BHN

9 Mikate hiyo ilipokuwa tayari, Tamari akaiopoa kutoka kikaangoni. Akampelekea Amnoni, lakini Amnoni alikataa kula, akasema kila mmoja na atolewe nje, na wote wakaondoka.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:9 katika mazingira