2 Samueli 13:12 BHN

12 Tamari akamwambia, “Sivyo, kaka yangu, usinilazimishe. Kitendo hiki hakifanyiki katika Israeli. Usifanye kitendo hiki cha kipumbavu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:12 katika mazingira