2 Samueli 13:13 BHN

13 Kwa upande wangu, siwezi kuvumilia aibu hiyo. Na kwa upande wako, utakuwa mmoja wa wapumbavu wa Israeli. Basi, mimi nakusihi uzungumze na mfalme kwani hatakukataza kunioa.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:13 katika mazingira