2 Samueli 13:23 BHN

23 Baada ya miaka miwili mizima, Absalomu alikuwa na shughuli ya kuwakata kondoo wake manyoya mjini Baal-hasori, karibu na Efraimu. Akawaalika watoto wote wa kiume wa mfalme.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:23 katika mazingira