2 Samueli 13:24 BHN

24 Absalomu alimwendea mfalme Daudi, akamwambia, “Tazama, mimi mtumishi wako ninao wakata-kondoo manyoya. Nakuomba wewe mfalme pamoja na watumishi wako, mwende pamoja nami, mtumishi wako.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:24 katika mazingira