2 Samueli 13:25 BHN

25 Mfalme akamjibu, “Sivyo, mwanangu, tusiende wote; tusije tukawa mzigo kwako.” Ingawa Absalomu alizidi kumsihi baba yake aende, lakini mfalme alikataa, ila alimpa baraka zake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:25 katika mazingira