2 Samueli 13:26 BHN

26 Halafu, Absalomu akamwambia, “Kama huendi, basi, mruhusu ndugu yangu Amnoni twende naye.” Mfalme akamjibu, “Lakini kwa nini aende pamoja nanyi?”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:26 katika mazingira