2 Samueli 13:36 BHN

36 Mara tu yule mtumishi alipomaliza kusema, wana wa kiume wa mfalme wakaingia, wakaanza kulia kwa sauti. Mfalme na watumishi wake wote, wakalia kwa uchungu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:36 katika mazingira