2 Samueli 13:37 BHN

37 Lakini Absalomu alikimbilia kwa Talmai mwana wa Amihudi, mfalme wa mji wa Geshuri. Mfalme Daudi akamwombolezea mwanawe Amnoni kwa siku nyingi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 13

Mtazamo 2 Samueli 13:37 katika mazingira