2 Samueli 14:14 BHN

14 Sisi sote lazima tutakufa. Sisi ni kama maji yaliyomwagika chini ambayo hayazoleki. Hata Mungu hafanyi tofauti kwa mtu huyu na tofauti kwa mwingine; yeye hutafuta njia ili waliopigwa marufuku, wakakimbia, wapate kurudi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 14

Mtazamo 2 Samueli 14:14 katika mazingira