2 Samueli 14:15 BHN

15 Mimi nimekuja kuzungumza nawe, bwana wangu mfalme, kwani wamenitisha. Basi, mimi mtumishi wako, niliwaza kuwa, ‘Afadhali nikazungumze na mfalme, huenda akanitimizia mahitaji yangu mimi mtumishi wake.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 14

Mtazamo 2 Samueli 14:15 katika mazingira