2 Samueli 14:24 BHN

24 Lakini mfalme akasema, “Absalomu aishi mbali nami; aishi nyumbani kwake. Asije hapa kuniona.” Hivyo, Absalomu akawa anaishi mbali, nyumbani kwake na hakumwona mfalme Daudi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 14

Mtazamo 2 Samueli 14:24 katika mazingira