25 Katika Israeli yote, hakuna yeyote aliyesifiwa kwa uzuri kama Absalomu. Tangu nyayo zake hadi utosini mwake, Absalomu hakuwa na kasoro yoyote.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 14
Mtazamo 2 Samueli 14:25 katika mazingira