26 Kila alipokata nywele zake, (na kila mwishoni mwa mwaka alikata nywele zake kwani zilikuwa nzito), alipozipima, zilikuwa na uzito wa kilo mbili kulingana na vipimo vya kifalme.
Kusoma sura kamili 2 Samueli 14
Mtazamo 2 Samueli 14:26 katika mazingira