2 Samueli 14:29 BHN

29 Kisha, Absalomu alimtumia ujumbe Yoabu, ili aende kwa mfalme kwa niaba yake, lakini Yoabu akakataa. Absalomu akatuma ujumbe mara ya pili lakini Yoabu akakataa.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 14

Mtazamo 2 Samueli 14:29 katika mazingira