2 Samueli 14:32 BHN

32 Absalomu akamjibu, “Tazama, nilikupelekea ujumbe, uje huku ili nikutume kwa mfalme, ukamwulize: ‘Kwa nini niliondoka Geshuri? Ingekuwa bora kwangu kubaki huko’. Sasa nisaidie nipate kumwona mfalme. Kama nina hatia basi, na aniue!”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 14

Mtazamo 2 Samueli 14:32 katika mazingira