2 Samueli 14:31 BHN

31 Yoabu akaenda nyumbani kwa Absalomu akamwuliza, “Kwa nini watumishi wako wamechoma moto shamba langu?”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 14

Mtazamo 2 Samueli 14:31 katika mazingira