2 Samueli 16:13 BHN

13 Hivyo mfalme Daudi na watu wake wakaendelea na safari huku Shimei akiwa anamfuata akimtupia mawe na kurusha juu vumbi dhidi ya mfalme Daudi. Shimei alikuwa akitembea kileleni mwa mlima, mkabala na mfalme Daudi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 16

Mtazamo 2 Samueli 16:13 katika mazingira