2 Samueli 16:8 BHN

8 Mwenyezi-Mungu amekulipiza kisasi kutokana na kumwaga damu yote ya jamaa ya Shauli, ambaye sasa wewe umechukua ufalme mahali pake. Sasa, Mwenyezi-Mungu amempa ufalme Absalomu mwanao. Tazama, sasa maangamizi yamekupata kwa sababu wewe ni mwuaji.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 16

Mtazamo 2 Samueli 16:8 katika mazingira