9 Ndipo Abishai mwana wa Seruya, akamwambia mfalme, “Kwa nini huyu mbwa mfu akulaani wewe bwana wangu mfalme? Niruhusu nimwendee, nami nitakikata kichwa chake.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 16
Mtazamo 2 Samueli 16:9 katika mazingira