2 Samueli 17:11 BHN

11 Shauri langu ni kwamba, uwakusanye kwako watu wote wa Israeli tangu Dani hadi Beer-sheba, upande wa kusini, wawe wengi kama mchanga wa bahari, na wewe mwenyewe binafsi uende vitani.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:11 katika mazingira