2 Samueli 17:12 BHN

12 Nasi tutamwendea Daudi mahali popote anapoweza kupatikana na tutamvamia kama umande unavyoiangukia ardhi. Basi, hakuna atakayesalia hata kama atakuwa yeye mwenyewe au watu wake wote walio pamoja naye.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:12 katika mazingira