2 Samueli 17:13 BHN

13 Iwapo atakimbilia mji fulani, basi, watu wote wa Israeli wataleta kamba na kuuburuta mji huo, hadi bondeni, kisibaki chochote hata jiwe dogo la mji huo.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:13 katika mazingira