2 Samueli 17:14 BHN

14 Absalomu pamoja na watu wote wa Israeli wakasema, “Shauri la Hushai ni bora kuliko shauri la Ahithofeli.” Wakakataa shauri la Ahithofeli kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa amepanga kulishinda shauri jema la Ahithofeli ili aweze kumletea Absalomu maafa.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:14 katika mazingira