2 Samueli 17:15 BHN

15 Kisha Hushai akawaambia makuhani Sadoki na Abiathari jinsi Ahithofeli na yeye mwenyewe walivyomshauri Absalomu na wazee wa Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:15 katika mazingira