2 Samueli 17:16 BHN

16 Akawaambia wampelekee Daudi habari upesi kwamba asilale usiku kwenye vivuko jangwani, bali, kwa njia yoyote ile, avuke na kuondoka ili asije akakamatwa na kuuawa, yeye pamoja na watu wake wote.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:16 katika mazingira