2 Samueli 17:17 BHN

17 Wakati huo, Yonathani na Ahimaasi walikuwa wakimngojea karibu na Enrogeli, ili wasionekane na mtu yeyote wakiingia mjini. Kila mara mtumishi fulani wa kike alikuwa akiwapelekea habari nao wakaipeleka kwa mfalme Daudi.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:17 katika mazingira