2 Samueli 17:18 BHN

18 Lakini wakati huu, walionekana na kijana mmoja ambaye alikwenda na kumhabarisha Absalomu. Hivyo, Yonathani na Ahimaasi waliondoka haraka, wakaenda Bahurimu nyumbani kwa mtu fulani aliyekuwa na kisima uani kwake. Wakaingia humo kisimani na kujificha.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:18 katika mazingira