2 Samueli 17:19 BHN

19 Mwanamke mwenye nyumba hiyo akachukua kifuniko na kukifunika kisima hicho, halafu akaanika nafaka juu ya kifuniko. Habari hizo hazikujulikana.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:19 katika mazingira