2 Samueli 17:20 BHN

20 Watumishi wa Absalomu walipowasili kwa huyo mwanamke, wakamwambia, “Wako wapi Ahimaasi na Yonathani?” Yule mwanamke akawaambia, “Wamekwenda ngambo ya kijito.” Walipowatafuta na kuwakosa, wakarudi mjini Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:20 katika mazingira