2 Samueli 17:21 BHN

21 Baada ya watumishi wa Absalomu kuondoka, Yonathani na Ahimaasi walitoka kisimani, wakaenda kwa mfalme Daudi na kumpasha habari. Wakamwambia, “Ondoka, uende ngambo ya mto, kwa sababu Ahithofeli amemshauri Absalomu dhidi yako.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:21 katika mazingira