2 Samueli 17:22 BHN

22 Kwa hiyo, Daudi akaondoka na watu wote waliokuwa pamoja naye, wakavuka mto Yordani. Ilipofika asubuhi hakuna mtu aliyebaki nyuma bila kuvuka mto Yordani.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:22 katika mazingira