2 Samueli 17:29 BHN

29 asali, siagi, kondoo na jibini kutoka mifugo yao kwa ajili ya Daudi pamoja na watu aliokuwa nao. Maana walisema, “Watu hawa wana njaa, wamechoka na wana kiu kwa ajili ya kusafiri jangwani.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 17

Mtazamo 2 Samueli 17:29 katika mazingira