2 Samueli 18:1 BHN

1 Daudi aliwahesabu watu waliokuwa pamoja naye, akawagawanya katika vikosi vya maelfu chini ya makamanda wao; na vikosi vya mamia, navyo chini ya makamanda wao.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:1 katika mazingira