19 Kisha, Ahimaasi mwana wa Sadoki, akasema, “Niruhusu nikimbie kumpelekea mfalme habari hizi kuwa Mwenyezi-Mungu amemkomboa katika nguvu za adui zake.”
Kusoma sura kamili 2 Samueli 18
Mtazamo 2 Samueli 18:19 katika mazingira