2 Samueli 18:20 BHN

20 Yoabu akamwambia, “Leo, hutapeleka habari hizo. Unaweza kupeleka habari hizo siku nyingine. Lakini leo hutapeleka habari zozote kwa kuwa mwana wa mfalme amekufa.”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:20 katika mazingira