2 Samueli 18:21 BHN

21 Ndipo Yoabu akamwambia mtu mmoja, Mkushi, “Wewe, nenda ukamweleze mfalme yale uliyoona.” Mkushi akainama kwa heshima mbele ya Yoabu, akaondoka mbio.

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:21 katika mazingira