2 Samueli 18:22 BHN

22 Kisha Ahimaasi mwana wa Sadoki akamwambia Yoabu tena, “Haidhuru; niruhusu na mimi nimkimbilie yule Mkushi!” Yoabu akamwambia, “Mbona unataka kukimbia mwanangu? Wewe hutatuzwa lolote kwa habari hizi!”

Kusoma sura kamili 2 Samueli 18

Mtazamo 2 Samueli 18:22 katika mazingira